\v=3 \v~=akidhihirisha wazi na kuthibitisha kwamba ilikuwa lazima Kristo\f + \fr 17:3 \fq Kristo \ft maana yake ni \fqa Masiya\ft , yaani \fqa Aliyetiwa mafuta.\f* ateswe na afufuke kutoka kwa wafu. Akasema, “Huyu Yesu ninayewaambia habari zake, ndiye Kristo.” \¬v