\ms1=Safari Ya Tatu Ya Paulo Kueneza Injili \mr=(18:23–21:16) \p \v=23 \v~=Baada ya kukaa huko kwa muda, akaondoka na kwenda sehemu moja hadi nyingine huko Galatia na Frigia, akiwaimarisha wanafunzi wote. \¬v \¬p