\p \v=9 \v~=Usiku mmoja Bwana akamwambia Paulo katika maono, \wj “Usiogope, lakini endelea kusema wala usinyamaze,\wj* \¬v