\p \v=7 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Si juu yenu kujua nyakati na majira ambayo Baba ameyaweka katika mamlaka yake mwenyewe.\wj* \¬v