\v=35 \v~=Katika kila jambo nimewaonyesha kwamba kwa njia hii ya kufanya kazi kwa bidii imetupasa kuwasaidia wadhaifu, mkikumbuka maneno ya Bwana Yesu mwenyewe jinsi alivyosema, \wj ‘Ni heri kutoa kuliko kupokea.’\wj* ” \¬v \¬p