\p \v=11 \v~=Usiku uliofuata, Bwana akasimama karibu naye akamwambia, \wj “Jipe moyo! Kama vile ulivyonishuhudia hapa Yerusalemu, hivyo imekupasa kunishuhudia huko Rumi pia.”\wj* \¬v \¬p