\p \v=9 \v~=Pia wale Wayahudi wakaunga mkono wakithibitisha kuwa mashtaka yote haya ni kweli. \¬v \¬p