\v=28 \v~=Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini,\f + \fr 27:28 \ft Pima 20 ni kama mita 40.\f* baada ya kuendelea mbele kidogo wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano.\f + \fr 27:28 \ft Pima 15 ni kama mita 30.\f* \¬v