\v=30 \v~=Katika jaribio la kutoroka kutoka kwenye meli, mabaharia wakashusha mashua ya kuokolea watu baharini, wakijifanya kwamba wanakwenda kushusha nanga za omo.\f + \fr 27:30 \ft Omo hapa maana yake ni sehemu ya mbele ya meli, yaani gubeti.\f* \¬v