\v=41 \v~=Lakini wakafika mahali ambapo bahari mbili zinakutana, wakaipweleza meli ufuoni, omo ikakwama sana, ikawa haiwezi kuondolewa, lakini sehemu ya shetri\f + \fr 27:41 \ft Shetri ni sehemu ya nyuma ya meli ambayo pia huitwa tezi.\f* ikavunjika vipande vipande kwa kule kupiga kwa mawimbi yenye nguvu. \¬v \¬p