\v=31 \v~=Daudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Kristo,\f + \fr 2:31 \fq Kristo \ft maana yake ni \fqa Masiya\ft , yaani \fqa Aliyetiwa mafuta.\f* kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu. \¬v