\v=15 \v~=Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi\f + \fr 4:15 \fq Baraza la Wayahudi \ft hapa ina maana ya \fqa Sanhedrin \ft ambalo lilikuwa ndilo baraza la juu kabisa la utawala wa Kiyahudi, lililoundwa na wazee 70 pamoja na kuhani mkuu.\f* wakati wakisemezana jambo hilo wao kwa wao. \¬v