\v=36 \v~=Aliwaongoza wana wa Israeli kutoka Misri, baada ya kufanya ishara na maajabu mengi huko Misri, katika Bahari ya Shamu,\f + \fr 7:36 \ft Yaani Bahari ya Mafunjo.\f* na katika jangwa kwa muda wa miaka arobaini. \¬v \¬p