\p \v=11 \v~=Bwana akamwambia, \wj “Ondoka uende katika barabara iitwayo Nyofu ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu kutoka Tarso, jina lake Sauli, kwa maana wakati huu anaomba,\wj* \¬v