\p \v=15 \v~=Lakini Bwana akamwambia Anania, \wj “Nenda! Mtu huyu ni chombo changu kiteule nilichokichagua, apate kulichukua Jina langu kwa watu wa Mataifa na wafalme wao na mbele ya watu wa Israeli.\wj* \¬v