\p \v=13 \v~=“Sikia hili na ushuhudie dhidi ya nyumba ya Yakobo,” asema Bwana, \nd Bwana\nd* Mungu Mwenye Nguvu Zote. \¬v \¬p