\v=2 \v~=Wakati nzige walikuwa wamekula mimea yote ya nchi, nililia kwa sauti kuu, “\nd Bwana\nd* Mwenyezi, samehe! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!” \¬v \¬p