\v=5 \v~=Ndipo nikalia, “\nd Bwana\nd* Mwenyezi, nakusihi, zuia! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!” \¬v \¬p