\p \v=13 \v~=Sauli alikufa kwa sababu hakuwa mwaminifu kwa \nd Bwana\nd*. Hakulishika neno la \nd Bwana\nd*, hata akataka shauri kwa mwaguzi kwa ajili ya uongozi, \¬v