\v=14 \v~=Lakini Eleazari na Daudi wakasimama imara katikati ya lile shamba, nao wakalishindania na wakawaua Wafilisti. Naye \nd Bwana\nd* akawapa ushindi mkubwa. \¬v \¬p