\v=23 \v~=Alimuua Mmisri aliyekuwa na urefu kama dhiraa tano.\f + \fr 11:23 \ft Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.\f* Ingawa Mmisri alikuwa na mkuki kama mti wa mfumaji mkononi mwake, Benaya alimwendea na rungu. Akamnyangʼanya Mmisri mkuki wake na kumuua nao. \¬v