\p \v=3 \v~=Wazee wote wa Israeli walipokuwa wamewasili kwa Mfalme Daudi huko Hebroni, alifanya mapatano nao huko Hebroni mbele za \nd Bwana\nd*, nao wakamtia Daudi mafuta awe mfalme wa Israeli, sawasawa na \nd Bwana\nd* alivyoahidi kupitia kwa Samweli. \¬v \¬p