\v=10 \v~=Hasira ya \nd Bwana\nd* ikawaka dhidi ya Uza, akampiga kwa sababu aliuweka mkono wake kwenye Sanduku. Kwa hiyo akafa pale mbele za Mungu. \¬v \¬p