\p \v=11 \v~=Ndipo Daudi akakasirika kwa sababu ghadhabu ya \nd Bwana\nd* ilifurika dhidi ya Uza, mahali pale pakaitwa Peres-Uza\f + \fr 13:11 \ft Maana yake ni Gadhabu dhidi ya Uza.\f* hadi leo. \¬v \¬p