\p \v=11 \v~=Hivyo Daudi pamoja na watu wake wakakwea mpaka Baal-Perasimu,\f + \fr 14:11 \ft Maana yake ni Bwana Afurikae.\f* akawashinda huko. Akasema, “Kama maji yafurikavyo, Mungu amewafurikia adui zangu kwa kutumia mkono wangu.” Kwa hiyo mahali pale pakaitwa Baal-Perasimu. \¬v