\v=12 \v~=Akawaambia, “Ninyi ndio viongozi wa jamaa za Walawi. Ninyi pamoja na Walawi wenzenu inawapasa mjitakase na kulipandisha Sanduku la \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli hadi mahali ambapo nimetengeneza kwa ajili yake. \¬v