\v=15 \v~=Nao Walawi wakalichukua Sanduku la Mungu mabegani mwao wakitumia mipiko, kama vile Mose alivyoamuru sawasawa na neno la \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p