\v=26 \v~=Kwa sababu Mungu alikuwa amewasaidia Walawi waliokuwa wanalichukua Sanduku la Agano la \nd Bwana\nd*, mafahali saba na kondoo dume saba walitolewa dhabihu. \¬v