\p \v=29 \v~=Sanduku la Agano la \nd Bwana\nd* lilipokuwa linaingia katika Mji wa Daudi, Mikali binti Sauli akachungulia dirishani. Naye alipomwona Mfalme Daudi akicheza na kusherehekea, akamdharau moyoni mwake. \¬v \¬p \¬c