\v=2 \v~=Baada ya Daudi kumaliza kutoa hizo sadaka za kuteketezwa na hizo sadaka za amani, akawabariki watu katika jina la \nd Bwana\nd*. \¬v