\b \p \v=37 \v~=Daudi akamwacha Asafu na wenzake mbele ya Sanduku la Agano la \nd Bwana\nd* ili wahudumu humo mara kwa mara, kulingana na mahitaji ya kila siku. \¬v