\p \v=4 \v~=Akawaweka pia baadhi ya Walawi ili wahudumu mbele ya Sanduku la \nd Bwana\nd* kufanya maombi, kumshukuru na kumsifu \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli: \¬v