\v=40 \v~=ili kutoa sadaka za kuteketezwa kwa \nd Bwana\nd* kwenye madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa mara kwa mara, asubuhi na jioni, sawasawa na kila kitu kilichoandikwa katika sheria ya \nd Bwana\nd* ambayo alikuwa amempa Israeli. \¬v