\pm \v=20 \v~=“Hakuna aliye kama wewe, Ee \nd Bwana\nd* Mungu, wala hakuna Mungu ila wewe, kama vile tulivyosikia kwa masikio yetu wenyewe. \¬v