\v=27 \v~=Basi imekupendeza kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili idumu milele machoni pako; kwa ajili yako, Ee \nd Bwana\nd*, umeibariki, nayo itabarikiwa milele.” \¬v \¬pm \¬c