\pm \v=7 \v~=“Sasa basi, mwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote: Nilikuchukua machungani na kutoka kuandama kondoo ili uwatawale watu wangu Israeli. \¬v