\p \v=11 \v~=Mfalme Daudi akaviweka vifaa hivi wakfu kwa \nd Bwana\nd* kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu aliyokuwa ameitwaa katika mataifa yote haya: Edomu na Moabu, Waamoni, Wafilisti na Waamaleki. \¬v \¬p