\v=13 \v~=Akaweka kambi za askari walinzi huko Edomu, nao Waedomu wote wakawa watumishi wa Daudi. \nd Bwana\nd* akampa Daudi ushindi kila alipokwenda. \¬v \¬p