\p \v=2 \v~=Pia Daudi akawashinda Wamoabu, wakawa watumishi wake, nao wakawa wanamletea ushuru. \¬v \¬p