\v=12 \v~=miaka mitatu ya njaa, au miezi mitatu ya kushindwa na adui zako, ukipatwa na upanga wao, au siku tatu za upanga wa \nd Bwana\nd*, yaani, siku tatu za tauni katika nchi na malaika wa \nd Bwana\nd* akiangamiza kila mahali katika Israeli.’ Sasa basi, amua jinsi nitakavyomjibu yeye aliyenituma.” \¬v \¬p