\p \v=13 \v~=Daudi akamwambia Gadi, “Ninayo mahangaiko makubwa. Mimi na nianguke mikononi mwa \nd Bwana\nd* kwa maana rehema zake ni kuu mno, lakini usiniache niangukie mikononi mwa wanadamu.” \¬v \¬p