\p \v=16 \v~=Daudi akayainua macho yake akamwona huyo malaika wa \nd Bwana\nd* akiwa amesimama katikati ya mbingu na dunia, naye ameunyoosha upanga wake juu ya Yerusalemu tayari kuangamiza. Kisha Daudi na wazee, waliokuwa wamevaa nguo za gunia, wakaanguka kifudifudi. \¬v \¬p