\p \v=22 \v~=Daudi akamwambia, “Nipatie huu uwanja wako wa kupuria nafaka ili niweze kujenga madhabahu ya \nd Bwana\nd* tauni ipate kukomeshwa katika watu. Niuzie kwa bei yake kamili.” \¬v \¬p