\p \v=24 \v~=Lakini Mfalme Daudi akamjibu Arauna, “La hasha! Lakini ninasisitiza kwamba nitalipa bei yake kamili. Sitachukua kilicho chako kwa ajili ya \nd Bwana\nd* au kutoa sadaka ya kuteketezwa ambayo hainigharimu chochote.” \¬v \¬p