\v=26 \v~=Kisha Daudi akamjengea \nd Bwana\nd* madhabahu mahali hapo, na kutoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Akamwita \nd Bwana\nd* naye \nd Bwana\nd* akajibu maombi yake kwa moto toka mbinguni juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa. \¬v \¬p