\v=28 \v~=Wakati huo, Daudi alipoona kwamba \nd Bwana\nd* amemjibu kule kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Arauna Myebusi, akatoa dhabihu huko. \¬v