\p \c#=22 \v=1 \v~=Ndipo Daudi akasema, “Nyumba ya \nd Bwana\nd* Mungu itakuwa mahali hapa, pia pamoja na madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya Israeli.” \¬v \¬p