\p \v=11 \v~=“Sasa, mwanangu, \nd Bwana\nd* awe pamoja nawe, nawe uwe na mafanikio upate kuijenga nyumba ya \nd Bwana\nd* Mungu wako, kama alivyosema utafanya. \¬v