\v=13 \v~=Ndipo utakapofanikiwa, ikiwa utakuwa na bidii kutii amri na sheria \nd Bwana\nd* alizompa Mose kwa ajili ya Israeli. Uwe hodari na ushujaa. Usiogope wala usikate tamaa. \¬v \¬p