\p \v=14 \v~=“Nimejitaabisha sana ili kupata mahitaji kwa ajili ya Hekalu la \nd Bwana\nd*: talanta 100,000\f + \fr 22:14 \ft Talanta 100,000 za dhahabu ni sawa na tani 3,750.\f* za dhahabu, talanta 1,000,000\f + \fr 22:14 \ft Talanta 1,000,000 za fedha ni sawa na tani 37,500.\f* za fedha na kiasi kisichopimika cha shaba na chuma, pia mbao na mawe. Nawe waweza kuviongeza. \¬v